Juma hili katika makala ya Sanaa tunazungumza na Kulwa Kikumba maarufu kwa jina la "Dude" ambaye ni msanii maarufu wa filamu za Tanzania au Bongo Movie, tega sikio upate kufahamu mambo mbalimbali ...
Mtoto wa msanii wa Filamu za Bongo na Mjasiriamali, Rose Alphonce maarufu kama 'Muna Love' ameaga Dunia. Mtoto Patrick Dickson ambaye alikua na umaarufu sana katika mitandao ya kijamii amefariki jana ...
Wasanii nchini Tanzania hivi karibuni waliandamana kupinga uuzwaji wa filamu kutoka nje, wakidai zinaharibu soko la ndani. Wakati huo huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiahidi kushughulikia suala ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results