KWA mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), timu zote zilizofuzu nusu fainali za toleo la 2025 ...
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea leo kwa mechi nne ngumu zitakazopigwa kwenye viwanja tofauti ikiwa ni raundi ya nane.
KUNA vita nyingi zinakwenda kushuhudiwa leo Jumanne katika fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Dimba la Gombani ...
Mwangosi alikuwa na kikosi cha Simba visiwani Zanzibar kwa majaribio katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofikia tamati ...
Kipa huyo aliyeshika namba mbili ya makipa wazawa waliofanya vizuri msimu uliopita akiwa na clean sheet 11, nyuma ya Patrick ...
Nyota huyo wa zamani ni Amir Maftah aliyewahi kuwika na timu hiyo baada ya kuitumikia Yanga, amesema kitu kinachoweza ...
XABI ALONSO ameachana na Real Madrid siku moja baada ya kupoteza fainali ya Super Cup dhidi ya Barcelona. Taarifa ya klabu ...
Mashabiki wa Simba wameifutia aibu timu yao na kuipatia kombe baada ya muda mrefu kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ...
Winga wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Emmanuel Gabriel anasema: “Kwa misimu hiyo nane wageni wamechukua mara nyingi ...
MASTAA wa Manchester United wameambiwa kwamba kufuzu michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ndio malengo ya timu hiyo kwa msimu ...
BEKI wa Crystal Palace, Marc Guehi inadaiwa kukataa kujiunga na Manchester City na badala yake anataka kujiunga na Arsenal au ...
Mechi ijayo katika Ligi ya Mabingwa Afrika ni dhidi ya Taraj SC ya Tunisia ambayo nje ya nchi yao inafahamika zaidi kama ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results