Duru za kitabibu katika Ukanda wa Gaza zimesema kuwa mashambulizi ya Israel yaliwaua takriban Wapalestina 30, ikiwa ni moja kati ya idadi kubwa zaidi tangu kusainiwa kwa usitishaji mapigano wa Oktoba.
Rais wa Marekani, Donald Trump, na mwenzake wa China, Xi Jinping, walizungumza kwa simu Februari 4. Trump alisema wana uhusiano "mzuri sana", na kwamba walijadili masuala mbalimbali ikiwemo juu ya ...
China imeendelea kuvutia macho ya dunia baada ya kuiweka wazi kwa mara ya kwanza toleo jipya la ndege yake ya kivita ya kisasa, J-20A, sambamba na J-20S yenye viti viwili. Hatua hii imekuja katika ...
Ukame unaoendelea katika Pembe ya Afrika sasa umeenea hadi maeneo ambayo hapo awali hayakuwa yakikumbwa sana na majanga ya ukame, hali inayowaacha wafugaji wengi wakipoteza chanzo chao kikuu cha ...
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupilia mbali maombi madogo ya dharura, kuizuia Tume ya Uchaguzi visiwani humo (ZEC) kuharibu nyaraka za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Maombi hayo yaliyowasilishwa hivi ...
Avustralya'da yaşam Manuella ailesi için hala tamamen yeni bir deneyim. Telieta, Kaumaile ve dört çocukları Tuvalu’dan Avustralya’ya geleli henüz iki hafta oldu. Mkataba wa Muungano wa Falepili kati ...
World Interfaith Harmony Week is an annual event observed during the first week of February, since the General Assembly designation in 2010. The General Assembly pointed out that mutual understanding ...