MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya mashtaka ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.
SEHEMU ya kwanza katika mfululizo wa makala hizi zilizotokana na mahojiano maalumu na kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga anayekipiga kwa sasa Wydad Casablanca, Stephanie Aziz KI, tuliona namna ...
As the two streamers deliver original content, it seems females are waiting on standby to reward them with views. By Carly Thomas Associate Editor When it comes to Young Adult films and television ...
Katika msitu wa Amazon upande wa nchi ya Peru, jamii za watu wa asilizimeonesha namna mbinu bunifu za kilimo zinaweza kuongeza uzalishaji na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Yote haya yanakuja ...
DAR ES SALAAM; Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili kinachohitaji utunzaji wa mara kwa mara, ili kubaki na afya na kuonekana vizuri. Urembo wa asili ni njia nzuri ya kutunza ngozi yako bila kutumia ...
Dar es Salaam. Katika jamii yetu ya sasa, matukio ya vurugu, milipuko ya mabomu, milio ya risasi au vitendo vya kikatili yamekuwa yakishuhudiwa mara kwa mara katika maeneo mbalimbali. Watu wazima ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...
Mafuta ya mzeituni, alizeti, mafuta ya nazi,mafuta ya mawese ni baadhi ya mafuta kula ambayo yanapendekezwa kutokana na namna yanavyotengenezwa. Mengi hutengenezwa kwa kukamuliwa ,bila kuongezwa ...
Uislamu ni dini ya ulimwengu wote, inayojumuisha nyanja zote za maisha ya mwanadamu. Uislamu ni imani, sharia na mfumo kamili wa maisha, unaozingatia mambo ya Kidunia na ya Akhera bila kuacha pengo ...
Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wamekutana Jumatano mjini Brussels nchini Ubelgiji kujadili namna ya kujilinda na kukabiliana na vitisho na uchokozi wa Urusi. Umoja ...
Algiers, Algeria: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli ya Nchini Algeria (ALNAFT) kwa lengo la ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results