Katika kuadhimisha Siku ya Redio Duniani ambayo huadhimishwa Februari 13 ya kila mwaka, siku ambayo Redio ya Umoja wa Mataifa ilisikika kwa mara ya kwanza mwaka 1946, miaka 80 iliyopita, mwaka huu, ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, na mwenzake wa China, Xi Jinping, walizungumza kwa simu Februari 4. Trump alisema wana uhusiano "mzuri sana", na kwamba walijadili masuala mbalimbali ikiwemo juu ya ...
Siku ya Australia imeadhimishwa kote nchini kwa sherehe za uraia na tuzo za Mwanaustralia wa Mwaka. Siku hiyo pia imeadhimishwa na watu wa Kabila la Aborijini na Visiwa vya Torres Strait ambao ...
KOCHA wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kikosi hicho kimeweka mikakati ya kuhakikisha kinabakiza pointi tatu katika michezo yote ya nyumbani watakaocheza Uwanja wa Nyamagana, Mwanza ikiwa ni ...
MOROCCO;MOROCCO; PICHA za matukio mbalimbali mchezo wa Kundi C fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kati ya Uganda (The Cranes) dhidi ya Tanzania (Taifa Stars) uliochezwa usiku wa Desemba 27, ...
Katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), zaidi ya Warundi 500 walioishi na kufanya kazi katika jiji la Uvira, ambalo liko chini ya udhibiti wa AFC/M23 mnamo Desemba 10, wameweza ...
HADI sasa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi na tiba ya kiteknolojia kwenye afya. Matibabu sasa hayamtegemei binadamu kwa kiwango chote. Hiyo ni kuanzia teknolojia ya kawaida inavyokuwa, hasa katika ...
Kufuatia siku ya uchaguzi iliyokumbwa na maandamano na vurugu, makabiliano kati ya waandamanaji na vikosi vya usalama yaliendelea siku ya Alhamisi nchini Tanzania. Huko Dar es Salaam, mji mkuu wa ...
Wanawake wa Zanzibar wamegeuza urithi wa utamaduni wao kuwa darasa la kipekee kwa wageni, wakijenga maisha bora kupitia kikundi cha Mamas of Zanzibar. Katika mitaa tulivu ya Bububu Ngalawa, Zanzibar, ...
Morogoro. Wakulima wa mazao mbalimbali ya chakula na biashara wametakiwa kufuata kanuni bora za kilimo ikiwa ni pamoja na kupima afya ya udongo ili waweze kujua aina na kipimo cha mbolea ...
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani imeanza rasmi hii leo, chini ya kauli mbiu: "Wekeza katika Unyonyeshaji, Wekeza katika Mustakabali wa Baadaye." Wiki hii huadhimishwa kila mwaka katika wiki ya kwanza ya ...